MAPOKEZI YA BONDIA IBRAH CLASSIC: “Nimeiheshimisha nchi yang”
Neno kutoka kwa bondia Ibrahim Class baada ya kutua Dar es Salaam, Tanzania.
Ni Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere Dar es Salaam, ambako yalifanyika mapokezi ya bondia Ibrahim Class, ambaye ameshinda Ubingwa wa Kimataifa Mkanda wa WBC katika uzani wa kilo 59.
Pambano hilo lilifanyika Aprili 24, 2026 jijini Bangkok, Thailand.
Bondia huyo amewasili leo Aprili 28, 2026, saa nane mchana.
Tuko LIVE #AzamSports3HD
Mwandishi Katherini Shirima
Mhariri: @allymufti_tz
#Vitasa
(Feed generated with FetchRSS)