Mkurugenzi wa Kinga na Elimu ya Afya wa Wizara ya Afya Zanzibar, Dkt. Salim Slim, amesema Zanzibar imepiga hatua kubwa katika mapambano dhidi ya ugonjwa wa malaria baada ya maambukizi kushuka kutoka asilimia 40 hadi asilimia 0.04.

Akizungumza na waandishi wa habari kuhusu hali halisi ya ugonjwa huo, amesema mafanikio hayo yametokana na juhudi za pamoja kati ya Serikali na washirika wa maendeleo.

#AzamTVUpdates
Mhariri | John Mbalamwezi

(Feed generated with FetchRSS)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *