Mwili wa mwigizaji mkongwe wa Bongo Movie, Hashim Kambi aliyefariki dunia jana baada ya kufariki ghafla, umezikwa leo katika makaburi ya Kisutu Dar es Salaam.
Maziko hayo yamehudhuriwa na watu wa kada mbalimbali walioeleza namna watakavyo mkumbuka mwigizaji huyo.
#AzamTVUpdates
Mhariri | John Mbalamwezi
(Feed generated with FetchRSS)