Serikali za Tanzania na Rwanda zimekubaliana kuendelea kukuza uchumi wa nchi hizo pamoja na kuimarisha masuala ya usalama lengo likiwa ni kuwa na ushirikiano imara.
Maafikiano hayo yamebainisha wakati wa ziara ya siku moja ya Rais wa Rwanda Paul Kagame hapa nchini ambapo amekutana na mwenyeji wake Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan Ikulu Dar es Salaam.
Sheila Mkumba ameandaa ripoti kamili.
Mhariri | @rajjmsangi
#AzamTVUpdates
(Feed generated with FetchRSS)