#KariakooDerby ‘Saves’.
Yamefungwa magoli manne, lakini kuna kazi magolikipa wote wawili waliifanya kupunguza idadi ya magoli.
Hizi hapa ni baadhi ya ‘saves’ kutoka kwenye Kariakoo Derby, Simba vs Yanga iliyopigwa Mei 03, 2026 kwenye Dimba la Meja jenerali Isamuhyo na kumalizika kwa sare ya 2-2.
Je, kwa upande wako, golikipa gani alikuwa na kiwango bora zaidi?
Burudani zinaendelea LIVE #AzamSportsHD
#NBCPremierLeague #LigiKuuYaNBC #NBCPL #NBCPLUpdates #ImenogaZaidi #KariakooDerby #SimbaYanga #HainaLawama
(Feed generated with FetchRSS)