Wabunifu waliopata mafanikio duniani wanatajwa kuanzia katika historia ya kutokuwa na elimu ya juu na sasa Tanzania imedhamiria kuwawezesha kupata elimu hizo ili kuongeza ujuzi, ufanisi na muendelezo wa mawazo yao.
Katika kulifanikisha hilo, Waziri wa Elimu, Prof. Adolf Mkenda ameagiza Tume ya Sayansi na Teknolojia (COSTECH) na Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) kuwashika mkono.
Sikiliza taarifa hii.
Mhariri @moseskwindi
(Feed generated with FetchRSS)