Jeshi la Polisi Kanda Maalum Dar es Salaam linaendelea kupeleleza kwa uzito mkubwa tukio la mauaji ya mtu aliyetambulika kwa jina la James Rogers Temba mwanafunzi wa mwaka wa pili katika Chuo cha IFM Dar es Salaam ambaye mwili wake ulikutwa unaelea kwenye maji yaliyokuwa yanatiririka katika mto Msimbazi eneo la Kipawa Ilala tarehe 30.4.2026 huku ukiwa hauna kichwa.

Kwa mujibu wa Kamanda wa Jeshi la Polisi Kanda Maalum Dar es Salaam, SACP Muliro Jumanne Muliro, watu wanne wamekamatwa kwa tuhuma za kuhusu na tukio hilo.

#kilichoborakabisa

(Feed generated with FetchRSS)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *