Repost @gwajimad

Nani kama Askari wetu wanaojituma sana kwenye kuhamasisha malezi na makuzi na ulinzi wa watoto? Hakika hakuna

Pongezi sana Mkaguzi Msaidizi wa Polisi A/INSP Jofrey Mapunda wa Kamisheni ya Polisi Jamii Makao Makuu Dodoma kitengo cha Ushirikishaji Jamii kwa kujiunga na watoto kuelimisha kwa vitendo kupitia wimbo wa “Dont Touch” kuhusu kujilinda dhidi ya ukatili wa kijinsia.

Ni kutoka kata ya Chang’ombe iliyopo Wilaya ya Dodoma Mkoani Dodoma. Pigia makofi ya pongezi Askari wetu wanafanya kazi ya kulinda watoto wetu kwa niaba yetu wengine tunaona aibu hata kuvunja ukimya mbele ya watoto.

polisi.tanzania hakika mna Askari makini kwenye dawati la jinsia na watoto na elimu kwa jamii. Pongezi saaaaaana.

(Feed generated with FetchRSS)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *