Wadau mbalimbali kwa kushirikiana na Serikali ya Wilaya ya Sikonge, mkoani Tabora, wameanza mchakato wa kutatua changamoto ya upungufu wa madawati katika baadhi ya shule za wilaya hiyo.

Kupitia ushirikiano huo, viongozi na watendaji wameelekeza nguvu katika kipindi cha miezi miwili ijayo kwa kutumia mapato ya ndani ya vijiji pamoja na michango ya wadau mbalimbali, ili kuhakikisha wanafunzi wanapata mazingira bora na yenye staha ya kujifunzia.

@deilahmomo

(Feed generated with FetchRSS)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *