PIN POINT | Je, unaijua kazi ya Chama

Pin Point asubuhi ya leo ilichimbua kidogo kuhusu majukumu na uhatari wa Clatous Chama ndani ya kikosi cha Simba, akitumika kama ‘free attacking controller’ kwa mujibu wa @leomusikula_tz

Hebu sikiliza hii, halafu linganisha na alichokifanya leo kwenye game ya Mashujaa vs Simba aliyofunga mabao mawili.

#PinPoint #Musikula #ClatousChama

(Feed generated with FetchRSS)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *