SIMBA SC: “….tuna kazi mbili ambazo ni ngumu kuzifanya kwa wakati mmoja”.

Baada ya kuichapa Mashujaa FC, Simba SC imesema ili waweze kuliondoa ‘gap’ la alama mbili walizoachwa na Yanga, wana kazi mbili ya kufanya, mojawapo ikiwa ni “…kumuangalia mpinzani wetu akipoteza alama”.

Meneja Habari na Mawasiliano wa Simba, Ahmed Ally amekiri kwamba alama hizo mbili zinashikiliwa na timu bora na yenye uzoefu wa kukaa kileleni…

Kwa upande mwingine, Ahmed amewaita mashabiki kwenye Dimba la KMC kuelekea mchezo wao dhidi ya TRA United, robo fainali ya Kombe la Shirikisho la CRDB Bank, akisema malengo yao ni kushinda ubingwa wa michuano hiyo.

(Feed generated with FetchRSS)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *