Rais wa Marekani Donald Trump anasema kuwa Xi Jinping amempendekezea msaada wa kufungua tena Mlango-Bahari wa Hormuz na kumpa mtumaini ya kupata suluhisho.

Imechapishwa: Imehaririwa:

Dakika 1 Wakati wa kusoma

Matangazo ya kibiashara

Hali inazidi kuwa ngumu kwa uchumi wa dunia, na sasa Tehran inaibua vitisho vipya: kutoza ushuru njia za meli, lakini pia kudhibiti usimamizi wa nyaya za chini ya bahari zinazovuka Mlango-Bahari wa Hormuz.

Kote duniani, 99% ya huduma ya intaneti hupitia aina hii ya waya, ambayo kuharibiwa kwake kutakuwa na athari kubwa kwa uchumi duniani.

Lakini kwa sasa, ni vigumu kujua kama Tehran itatekeleza vitisho vyake, kulingana na Nicholas Carl, mtafiti katika shirika la Critical Threats Project huko Washington, ambaye amehojiwa na Aabla Jounaidi wa kitengo cha kimataifa cha RFI.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *