TRA UNITED: “…tunatumia usafiri wa anga”.

Kikosi cha TRA United, kimefanya mazoezi leo jijini Arusha kujiandaa na mchezo dhidi ya Simba utakaopigwa Jumapili Mei 17, kwenye Dimba la KMC Complex, Dar es salaam.

Afisa habari wa timu hiyo, Christina Mwagala anaeleza sababu za kuchelewa kuingia Dar es Salaam, pamoja na kuweka wazi malengo yao kwenye mchezo huo.

#CRDBBankFederationCup #TRAUnited #Mwagala

(Feed generated with FetchRSS)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *