YANGA SC: “….tuna mechi tisa tu kutetea mataji yetu mawili”YANGA SC: “….tuna mechi tisa tu kutetea mataji yetu mawili”

YANGA SC: “….tuna mechi tisa tu kutetea mataji yetu mawili”

Kikosi cha Yanga kinarejea mazoezini kesho Mei 19 baada ya mapumziko ya siku mbili, kuanza maandalizi kuelekea mchezo wao dhidi ya Singida BS utakaopigwa Mei 22 kwenye Dimba la KMC Complex.

Kuelekea mchezo huo pamoja na mbio za ubingwa, Ally kamwe anazungumza na mashabiki akisema “…sasa tunahitaji mashabiki wapambanaji”

Kamwe pia amefafanua jambo kuhusu dili na mchakato wa ujenzi wa uwanja, akijiita ‘Injinia Kamwe’, na kusema “…miezi 18 hadi 24 tutaanza kwenda kushuhudia mechi kwenye uwanja wetu”.

#NBCPremierLeague #Uwanja #YangaSC

(Feed generated with FetchRSS)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *