SINGIDA BS: “…hii ni mechi kubwa”
Kikosi cha Singida BS kimetua Dar es salaam tayari kwa maandalizi ya mchezo wao dhidi ya Yanga utakaopigwa Mei 22, kwenye Dimba la KMC Complex.
Afisa habari wa timu hiyo, Hussein Massanza amesema ligi haitabiliki, na kwamba “kwenye mpira wa miguu hakuna linaloshindikana”.
#NBCPremierLeague #SingidaBS #Massanza
(Feed generated with FetchRSS)
