#HABARI: Vijana zaidi ya elfu nane wanatarajiwa kukutana katika Tamasha la Tanzania ya thamani ambalo kauli mbiu yake ni “tunu yetu”.
Vijana wametakiwa kutumia majukwaa mbalimbali katika kujikwamua kiuchumi na kuweza kufanikiwa pia tamasha hilo ambalo litafanyika Juni 19, mwaka huu ni jukwaa la Kimataifa linalotumia sanaa, utamaduni na ubunifu kwa nyenzo ya kuhamasisha na kuamsha uzalendo kwenye uchumi wa vijana na kulinda misingi ya nchi yetu chini ya nguzo tatu ambazo ni sanaa na ubunifu, uwekezaji wa vijana pamoja na umoja wa Kitaifa.
Powered by #MCHEZOSUPA
JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:
–
Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.
#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania
(Feed generated with FetchRSS)
