Mshambuliaji wa zamani wa timu ya Manchester United, Rio Ferdinand amesafiri ndani ya treni ya Mwendokasi (SGR) kueleekea bungeni Jijini Dodoma kwa mwaliko rasmi wa Waziri wa Habari, Utamaduni,Sanaa na Michezo, Paul Makonda.
Mchezo huyo ambaye pia amewahi kukipiga Timu ya Taifa ya Uingereza ameambatana na wenyeji wake wakiongozwa na Katibu Mkuu na Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa ambako pamoja na shughuli zjngine ataelekea bungeni kwa mwaliko wa waziri Makonda
(Feed generated with FetchRSS)
