#MICHEZO: Bingwa wa masumbwi duniani kutoka nchini Marekani Terence Crawford amewasili nchini kwa ziara ya wiki moja ya utalii i…#MICHEZO: Bingwa wa masumbwi duniani kutoka nchini Marekani Terence Crawford amewasili nchini kwa ziara ya wiki moja ya utalii i…

#MICHEZO: Bingwa wa masumbwi duniani kutoka nchini Marekani Terence Crawford amewasili nchini kwa ziara ya wiki moja ya utalii ili kujionea vivutio mbalimbali vilivyopo hapa nchini.

Akizungumza na waandishi wa habari Mkurugenzi Mkuu wa Bodi ya Utalii (TTB), Efraim Mafuru wakati wa mapokezi ya bingwa huyo katika uwanja wa JNIA, jijini Dar es Salaam, amesema lengo la Serikali ni kendeleza zao la utalii nchini, na kuleta watalii wengi zaidi.

Powered by #MCHEZOSUPA

‎JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:
‎-
‎Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.

‎#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
‎Follow @itvtz @radioonetanzania
‎@capitaldigitaltanzania

(Feed generated with FetchRSS)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *