#HABARI: Katibu wa Itikadi, Siasa na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Dodoma, Jawadu Mohamed, amesema kauli zinazotol…#HABARI: Katibu wa Itikadi, Siasa na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Dodoma, Jawadu Mohamed, amesema kauli zinazotol…

#HABARI: Katibu wa Itikadi, Siasa na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Dodoma, Jawadu Mohamed, amesema kauli zinazotolewa na Mwanasiasa wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Godbless Lema, kuhusu madai ya kuwepo kwa mgongano wa viongozi wa juu Serikalini hazina uthibitisho wowote na zina lengo la kupotosha umma.

Jawadu ametoa kauli hiyo jijini Dodoma wakati akizungumza na waandishi wa habari, ambapo ameonya kuwa siasa za upotoshaji zinaweza kuchochea taharuki na kuleta migawanyiko miongoni mwa wananchi.

Amesema vyama vya siasa vinapaswa kujikita katika siasa za hoja na sera badala ya kutoa kauli zisizo na msingi ambazo zinaweza kuathiri utulivu wa jamii na mshikamano wa kitaifa.

Powered by #MCHEZOSUPA

JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:

Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.

#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania

(Feed generated with FetchRSS)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *