Mtaalam wa uchumi, Ally Mkimo, ameshauri kuanzishwa kwa bandari kavu zaidi nchini ili kupunguza msongamano wa malori kwenye barabara kuu.
Amesema hatua hiyo itasaidia kupunguza mzigo mkubwa wa usafirishaji unaotumia barabara moja, hali inayochangia uchakavu wa miundombinu.
Aidha, ameeleza kuwa bandari kavu zitachangia kuongeza mapato kupitia ushuru, fedha ambazo zinaweza kutumika kujenga na kuboresha barabara nyingine.
✍ Halima Abdallah
Mhariri | @claud_jm
@goodluckpaul_mc
@balqis_njuki
(Feed generated with FetchRSS)
