Kocha wa zamani wa Arsenal, Arsene Wenger, ameipongeza timu ya taifa ya vijana ya Tanzania kwa kuingia fainali ya Kombe la Matai…Kocha wa zamani wa Arsenal, Arsene Wenger, ameipongeza timu ya taifa ya vijana ya Tanzania kwa kuingia fainali ya Kombe la Matai…

Kocha wa zamani wa Arsenal, Arsene Wenger, ameipongeza timu ya taifa ya vijana ya Tanzania kwa kuingia fainali ya Kombe la Mataifa ya Afrika kwa Vijana chini ya umri wa miaka 17.

Serengeti Boys imetinga fainali baada ya kuibuka na ushindi kwa mikwaju ya penalti 4-3 dhidi ya Misri.

(Feed generated with FetchRSS)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *