Dada wa marehemu Alex Mtabutu aliyejirusha katika lori lilokuwa likipita katika daraja la Kijazi Jumanne wiki hii amesimulia mawasiliano ya mwisho kati yao kabla ya tukio hilo.
✍ Halima Abdallah
Mhariri | @moseskwindi
@richardngailla
@balqis_njuki
#AzamTVUpdates
(Feed generated with FetchRSS)
