“Kwa mujibu wa sheria pale ambapo mwekezaji amekuja nchini, na akasajiliwa kufanya uwekezaji fulani, kwa kweli kwa mujibu wa sheria anatakiwa azingatie working Permit yake, ni nini imemtaka kufanya ndani ya nchi” -Mercy Philipo-Meneja Uchambuzi wa Sera TPSF
#MalumbanoYaHoja
(Feed generated with FetchRSS)
