SERENGETI BOYS | Meneja Habari na Mawasiliano wa Yanga SC, Ali Kamwe kwa niaba ya klabu yake wamewapongeza Serengeti Boys, uongozi na benchi zima la ufundi baada ya kufuzu kutinga hatua ya fainal michuano ya Afcon U-17 huku akiuomba uongozi usiwatie presha vijana hao ili waendelee kufanya makubwa zaidi.
Mhariri | @rajjmsangi
#Tanzania #SerengetiBoys
(Feed generated with FetchRSS)
