Hii ni safari ya Winfrida Mkombe, ambaye kitaaluma ni Mhasibu, aliamua kuachana na ajira ya ofisini na kuingia katika ujasiriamali baada ya kuona fursa kubwa katika sekta ya maziwa.

Leo hii, amekuwa msaada mkubwa kwa wafugaji kwa kununua maziwa yao na kuyachakata kuwa bidhaa zenye thamani zaidi, hatua inayosaidia kukuza kipato cha wadau mbalimbali katika mnyororo huo.

Akielezea safari yake, Winfrida anasema alianza kwa mtaji mdogo huku akikabiliwa na changamoto nyingi za kuanzisha biashara.

#AzamTVUpdates
Mhariri | John Mbalamwezi

(Feed generated with FetchRSS)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *