Wananchi zaidi ya elfu 12 katika vijiji vya Mwasita na Mwabayanda wilayani Maswa wanatarajia kuondokana na changamoto ya upatikanaji wa maji safi na salama baada ya Serikali kutenga shilingi bilioni 2.1 kwa ajili ya ujenzi wa mradi wa maji katika vijiji hivyo. Mradi huo unatarajiwa kuboresha huduma ya maji na kupunguza adha iliyodumu kwa muda mrefu kwa wakazi wa maeneo hayo.

Hali ya upatikanaji wa maji ikoje katika eneo lako? Tuandikie ujumbe wako na tutausoma #AdhuhuriLive saa 7:00 #UTV

#AzamTVUpdates

(Feed generated with FetchRSS)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *