Kituo cha afya cha Chanika kilichopo wilaya ya Ilala Jijini Dar e salaam kimepata ithibati ya kitaifa na kimataifa ya kutoka Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) baada ya kukidhi vigezo stahiki vya utolewaji wa Huduma bora za Maabara na kukifanya kuwa kituo pekee mkoa wa Dar es salaam ambacho Kimethibitishwa na SADC
#kilichoborakabisa
(Feed generated with FetchRSS)