DRC | “Ni nchi yenye timu nyingi zinazotoa kimasomaso ikiwemo TP Mazembe,” Mtangazaji wa Azam TV, @gharib_mzinga23 akieleza namna Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo ilivyo na klabu mbalimbali zinazofanya vizuri katika soka.
Amesema kuwa kwa sasa TP Mazembe ndiyo klabu pekee katika ukanda wa kusini mwa Jangwa la Sahara ambayo imefanikiwa kutwaa mataji mengi ya klabu barani Afrika, hatua inayoifanya kuwa miongoni mwa timu kubwa na zenye heshima katika historia ya soka la Afrika.
Imeandaliwa na @rajjmsangi
##MakalaMaalumDRC #AzamSports
(Feed generated with FetchRSS)