HABARI WIKIENDI | Fuatilia simulizi ya taarifa mbalimbali za kimataifa wiki hii zikisimuliwa na @ahimidiwe_olotu ambapo kubwa ni ndege isiyo na rubani iliyoshambulia mojawapo ya makazi ya watu nchini Sudan, huku Urusi ikiendelea kupiga maeneo kadhaa ya Ukraine katika muendelezo wa vita vyao.
Mhariri | @abuuyusuftz
#AzamTVUpdates #HabariWikiendi
(Feed generated with FetchRSS)