Wakati dunia ikishuhudia siku 100 za tangu vita vya Marekani, Israel dhidi ya Iran, timu ya taifa ya mpira wa miguu ya Iran imekubaliwa kupewa vibali vya kuingia nchini Marekani kwa ajili ya michuano ya Kombe la Dunia inayotarajiwa kuanza Juni 11, 2026.

Marekani imesema itaweka ulinzi maalum kwa wachezaji na viongozi wa Iran wakati wote watakaokuwepo nchini humo, huku wanadiplomasia wakiona kitendo hicho kama njia mojawapo ya kupunguza makali kwa pande zote tatu.

@goodluckpaul_mc
Mhariri | @abuuyusuftz
#AzamTVUpdates #HabariWikiendi

(Feed generated with FetchRSS)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *