Raia watatu na maafisa wanne wa polisi wameuawa katika makabiliano kati ya waandamanaji wa vuguvugu lililopigwa marufuku na polisi huko Kashmir inayosimamiwa na Pakistan, makabiliano ambayo pia yamesababisha watu kadhaa kujeruhiwa, mamlaka imesema leo Jumatatu. 

Imechapishwa:

Dakika 1 Wakati wa kusoma

Matangazo ya kibiashara

Sardar Waheed, afisa mkuu wa kiraia huko Rawalakot, jiji ambalo makabiliano hayo yametokea, ameliambia shirika la habari la AFP kwamba raia watatu wameuawa na 40 kujeruhiwa katika makabiliano hayo. Polisi imebainisha katika taarifa tofauti kwamba vurugu hizo zimesababisha vifo vya maafisa wanne na 23 kujeruhiwa.

Habari zaidi zinakujia…

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *