Ofisa Mtendaji Mkuu wa Bakhresa Food Products (BFPL), Salim Aziz amesema ushindi wa tuzo ya ulipaji kodi kwa mujibu wa vigezo vinavyotambulika iliyotolewa kwa kampuni za Said Salim Bakhresa (SSB) ni ishara ya kutambulika kwa mchango wa Said Salim Bakhresa katika uchumi wa Tanzania kupitia ulipaji wa kodi.
Ameeleza hayo katika mahojiano maalumu na mwandishi Wetu, Tumie Omary .
Mhariri | @moseskwindi
#AzamTVUpdates
(Feed generated with FetchRSS)