Unaweza kuelezeaje hali hii?
Wananchi wanalia kwa kukosekana kwa maendeleo ikiwemo miundombinu bora na salama ya barabara kisha miongoni mwa wananchi wanageuka wezi na waharibifu.
Hatua za mafanikio mkoani Shinyanga zimekumbwa na changamoto mpya kufuatia kuibuka kwa wimbi la wizi wa betri zinazotumika kuendesha taa za barabara.
Kasisi kosta ametuandalia taarifa hii.
Mhariri | @moseskwindi
#AzamTVUpdates
(Feed generated with FetchRSS)