Wadau wa masuala ya kodi wakiwemo wataalamu na wafanyabiashara wameishauri serikali kuboresha baadhi ya mifumo ya ukusanyaji kodi ili kuendana na kauli ya Rais Samia Suluhu Hassan ya kukerwa na baadhi ya dhuluma zinazosababisha kufungwa kwa biashara na kusisitiza kuwa serikali inahitaji kodi isiyo ya dhuluma wala makadirio yasiyo na uhalisia.

Mhariri | @moseskwindi
#AzamTVUpdates

(Feed generated with FetchRSS)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *