Katika maadhimisho ya miaka 50 ya Maonesho ya Kimataifa ya Biashara ya Dar es Salaam (Sabasaba), Rais Samia Suluhu Hassan amesema maonesho hayo yameendelea kuwa chachu ya ukuaji wa biashara, uwekezaji na fursa za kiuchumi kwa maelfu ya Watanzania.
Aidha, mgeni rasmi wa maadhimisho hayo, Rais Daniel Chapo wa Msumbiji, ametoa wito kwa mataifa ya Afrika kuimarisha ushirikiano wa kiuchumi ili kufanikisha ukombozi mpya wa bara hilo.
#AzamTVUpdates
Mhariri | John Mbalamwezi
(Feed generated with FetchRSS)