Zaidi ya wafanyabiashara 3,000 wanaofanya shughuli zao katika mnada wa mifugo wa Kigwe, wilayani Bahi, hatimaye wameondokana na changamoto ya kutumia vichaka vinavyozunguka eneo hilo kujisaidia.

Hatua hiyo imekuja kufuatia kukamilika kwa ujenzi wa vyoo vya kisasa vyenye huduma maalum, ikiwemo sehemu za wanawake pamoja na maeneo ya kunyonyesha watoto wadogo, hatua inayolenga kuboresha usafi na mazingira ya biashara katika mnada huo.

#AzamTVUpdates
Mhariri | John Mbalamwezi

(Feed generated with FetchRSS)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *