#BURUDANI: Timu ya ITV tayari imewasili Mbezi Jogoo, Dar es Salaam, kwa ajili ya kukuletea matukio yote ya Grand Finale ya Bongo Star Search msimu wa 16.

Endelea kuwa karibu na kurasa zetu kwa taarifa, picha na video za moja kwa moja kutoka kwenye tukio hili kubwa la kusaka nyota mpya wa muziki Tanzania.

Kwa taarifa zaidi ufuate (follow) ukurasa wetu mpya wa Facebook #ITV EXTRA>>>> https://www.facebook.com/share/1QMjXDHqGv/?mibextid=wwXIfr

Powered by #MCHEZOSUPA

‎JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:
‎-
‎Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.

‎#ITVDigital #ITVUpdates ITVTanzania
‎Follow ITV TANZANIA RadioOne Tanzania
‎Capitalradio Tanzania

(Feed generated with FetchRSS)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *