DAR BOXING DERBY
Ijumaa ya Julai 24, ngumi zitapigwa Vitasa vitalia ni katika usiku wa Dar Boxing Derby
Pambano kuu ni Juma Choki dhidi ya Tony Rashid
Pambano hili litasindikizwa na mapambano mengine 11,
Hizi hapa takwimu zao
Vitasa hivi vitaanza saa 12:00 jioni na kuruka mubashara kupitia AzamSports3HD.
#Azamtvsports #Vitasanight

(Feed generated with FetchRSS)