Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imewataka wafanyabiashara wapya wenye mauzo yasiyozidi Shilingi Milioni 200 kwa mwaka sasa wanatakiwa kujitambulisha kwa kujisajili na kupata Namba ya Utambulisho wa Mlipa Kodi (TIN) mara baada ya kuanza biashara zao ili kunufaika na msamaha wa kodi ikiwa ni utekelezaji wa kanuni mpya zinazotokana na mabadiliko ya sheria za kodi yaliyoanza kutumika Julai Mosi mwaka huu.��
Mhariri @moseskwindi
#AzamTVUpdates
(Feed generated with FetchRSS)