Jeshi la Polisi kanda maalumu ya Dar es Salaam linamshikilia Hosam Hamza kwa tuhuma za kumuua baba yake mzazi pamoja na baba yake mdogo kwa kutumia shoka na baadaye kuwafukia nje ya nyumba yao iliyopo mtaa wa Sindano, Mwananyamala wilaya ya Kinondondoni, Dar es Salaam.
Mwenyekiti wa mtaa huo, Seleman Mohamed anaelezea viashiria vya kutokea kwa mauaji hayo ambavyo vilianza miezi miwili nyuma.��
Mhariri @moseskwindi
(Feed generated with FetchRSS)