Watoto njiti wamekuwa na mahitaji maalumu ya kimatibabu katika malezi yao hususani katika hatua za mwanzoni tangu kuzaliwa kwao hali inayoisukuma jamii kutafuta namna ya kupunguza kama sio kuondoa gharama kubwa za vifaa vya kuwasaidia watoto hao.��
Nyuma ya jitihada hizo kuna kilio cha fundi mitambo na mbunifu George Nyahende aliyebuni kifaa cha kuwezesha watoto hao kupata hewa safi wakati wanapozaliwa lakini hata hivyo kifaa hicho bado hakijaidhinishwa na mamlaka husika kwa matumizi.
Sababu ni nini?�
Joseph Mpangala ana taarifa zaidi.��
Mhariri @moseskwindi
(Feed generated with FetchRSS)