Raia wa Marekani, Dkt. Art Ulene aliyekuwa amedhamiria kusherekea siku yake ya kuzaliwa akiwa kwenye kilele cha Mlima Kilimanjaro hatimaye ametimiza ndoto zake hizo bada ya kurejea kutoka mlima huo mrefu zaidi barani Afrika akiwa ametimiza umri wa miaka 90 na akitajwa na mamlaka kuvunja rekodi kwa kufika kileleni akiwa na umri mkubwa hivyo.

Mhariri @moseskwindi

(Feed generated with FetchRSS)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *