DAR.
Mwenyekiti wa Chadema, Tundu Lissu amewaahidi wanachama wa chama hicho kuwa atakuwepo katika kikao cha Baraza Kuu.
Lissu ambaye wa sasa anakabiliwa na kesi alimuhakikishia mmoja wa viongozi wa chama hicho, Brenda Rupia aliyefika mahamani kwa ajili ya kufuatialia kesi ya kiongozi huyo.
Lissu alianza kwa kumuuliza kiongozi huyo wanaendeleaje ndipo akamueleza kuwa wanaendelea na maandalizi ya mkutano wa Baraza Kuu linalotarajiwa kufanyika Agosti 15, 2026.
“Waambie nitakuwepo” amesema Lissu na kuwasisitiza wanachama waendelee kuchangia Ili kufanikisha mkutano huo.
(Feed generated with FetchRSS)