Mkuu wa Mkoa wa Tanga, Balozi Batilda Burian, ameitisha kikao cha kutatua mgogoro kati ya wafanyabiashara wa mabasi na Halmashauri ya Jiji la Tanga kuhusu matumizi ya kituo kikuu cha mabasi cha Kange.
Katika kikao hicho, wafanyabiashara wa mabasi wamesema wanaendelea kutumia stendi hiyo na kulipa ushuru, huku Burian akiitaka Halmashauri ya Jiji la Tanga kukamilisha miundombinu iliyobaki ili kituo hicho kiweze kutumika kikamilifu.
✍ Mariam Shedafa
Mhariri @claud_jm
#AzamTVUpdates
(Feed generated with FetchRSS)