Save the Children: Zaidi ya nusu ya waathiriwa wa tetemeko la ardhi mashariki mwa Afghanistan ni watotoSave the Children: Zaidi ya nusu ya waathiriwa wa tetemeko la ardhi mashariki mwa Afghanistan ni watoto



Shirika la Kimataifa la Save the Children limetangaza kuwa, karibu watoto 1,200 wamepoteza maisha na maelfu ya wengine kuachwa bila makao katika tetemeko la ardhi la hivi majuzi mashariki mwa Afghanistan, ambalo limechukua zaidi la nusu ya jumla ya wahanga.



BONYEZA HAPA KUSOMA HABARI KAMILI

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *