KOMBE LA SHIRIKISHO AFRIKA
Singida BS baada ya kupata ushindi nyumbani dhidi ya AS Otoho, Jumapili hii watakuwa dimba la ugenini Alphonse Massamba wakicheza mchezo wa mkondo wa pili.
Je, Singida BS kuchukua alama zote sita kwa AS Otoho?
Mechi hii itapigwa kuanzia saa 10:00 jioni na kuruka mbashara kupitia AzamSports2HD.
Kwa kifurushi cha shilingi 28,000 unatazama mchezo huu.
#CAFCC #Azamtvsports #SingidaBS #ASOtoho

(Feed generated with FetchRSS)