Mshauri Mwelekezi wa Stadi za Maisha Dkt.Catherine Kahabuka amesema elimu inayotolewa haimtengenezi kijana kuwa tayari kwa majukumu ya kazi , vijana wengi wanapohitimu inakuwa ni ngumu kuajiriwa kwasababu elimu waliyopata haijajikita katika elimu ya vitendo.
✍ Halima Abdallah
Mhariri @moseskwindi
#AzamTVUpdates
(Feed generated with FetchRSS)