#HABARI: Watumishi wawili wa kada ya afya katika Halmashauri ya Wilaya ya Gairo mkoani Morogoro, wamechukuliwa hatua kali za kinidhamu kwa kufukuzwa kazi kutokana na utoro, mmoja akidaiwa kutohudhuria kazini kwa karibu miaka mitano.
Powered by #MCHEZOSUPA
JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:
–
Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.
#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania.