Raia wakatwa vichwa Katika shambulizi jipya kwenye mji wa bandari wa MsumbijiRaia wakatwa vichwa Katika shambulizi jipya kwenye mji wa bandari wa Msumbiji

Waasi wanaohusishwa na kundi la Islamic State wameshambulia mji muhimu wa bandari nchini Msumbiji karibu na kituo kikuu cha kimataifa cha gesi mapema leo Jumatatu, na kuwakata vichwa raia kadhaa, kulingana na wakaazi.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *