Waasi wanaohusishwa na kundi la Islamic State wameshambulia mji muhimu wa bandari nchini Msumbiji karibu na kituo kikuu cha kimataifa cha gesi mapema leo Jumatatu, na kuwakata vichwa raia kadhaa, kulingana na wakaazi.
Raia wakatwa vichwa Katika shambulizi jipya kwenye mji wa bandari wa Msumbiji